Header Ads

Header ADS

UZINDUZI WA ALBAM YA VIDEO, 'USIUTESE MOYO' YA SALOME NTALIMBO,...NSSF SHINYANGA


Uzinduzi wa Kanda ya Video ya Salome Ntalimbo inayoitwa 'USIUTESE MOYO' ndani ya NSSF Shinyanga siku ya tarehe 29 mwezi wa 8. Kiingilio watu wazima Sh 3000/= na watoto ni Sh 2000/=. Watu wote mnakaribishwa tuje tuisapoti kazi ya Mtanzania mwenzetu ili kukuza uchumi wa Nchi yetu ya Tanzania. Inua vipaji kuboresha uchumi wa Nchi.

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.